Tangazo la Mkutano wa TCCA - Via ZOOM
Heri ya Mwaka Mpya 2021, Wanamfuko!
▪️Tutakuwa na Mkutano Mkuu kwa Wanamfuko wote Jumamosi 23 Januari 2021 Kwa njia ya ZOOM | Muda: 3pm-5pm
▪️Usajili wa Wanamfuko wapya umefunguliwa Rasmi Jan 1-31 | Karibu kuwakaribisha wengine KUJIUNGA na TCCA Tafadhali sambaza ujumbe.
▪️Ada ya Mwaka kwa kila Mwanafuko ni $40 mwisho wa kulipia ni Januari 31, 2021
▪️Tunawakumbusha Wanamfuko wote, kwa mujibu wa Katiba mwanamfuko anatakiwa kuhudhuria anagalau Mkutano Mkuu moja kwa mwaka.
KUJIUNGA:
ZOOM ID: 803 853 7885
Password: 515982
Join by Link: https://us02web.zoom.us/j/88038537885?pwd=S01oVGZaUTJVS0tmbFA0MkdzOTdEZz09
Asanteni
TCCA Uongozi.