TAARIFA YA MSIBA
Habari za leo wanamfuko.
Tunasikitika kuwapa taarifa kuwa wanamfuko wenzetu
Maiga, Mkama na Dan Mapigano wamefiwa na Mama yao Mzazi Mama Florence Mapigano.
Mama Mapigano amefariki leo, January 11 2023 Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Maiga Mapigano anatarajiwa kusafiri kushiriki mazishi ya mama yake.
Msiba upo nyumbani kwa Maiga na Jacqueline Mapigano Pataskala, OH
Address:
130 Broadmoore Blvd,
Pataskala, OH 43062
Kwa salamu za faraja na pole namba za wafiwa ni
Maiga: +1-614-783-8258
Mkama (Muki):+1-614-805-6231
Dan (Dimo): +1-614-354-7240
Tuwakumbuke wafiwa katika sala zetu. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe
JOIN US
DONATE
"TCCA" is a 501(c)6 non-profit organization. P.O BOX 939, Worthington, OHIO 43085